
49,488 views
1 Feb 2011
LYRICS Nakupenda wewe pekee roho yangu / Yakulilia kweli eh njoo kwangu Usiku silali mie nakuwaza we / Mawazo nenda rudi yakuzingira we Mapenzi yako kweli yanifaa mimi / Maisha bila wewe kweli sijui Mahangaiko yangu yameania patupu / Kutoka leo nimeyapiga marufuku Chorus: Nakupenda wewe pekee / Daima mimi na wewe You linger in my mind / Hope you're always standing by my side Nakupenda wewe pekee / Daima mimi na wewe I have loved you from the start / You who holds the key to my heart Nakupenda wewe pekee roho yako / Yapendeza kweli yanivuta kwako Upole, ufadhila na ukarimu wa moyo / Utu bila uchoyo bali upendo kibao Waliokutangulia hawakushiki / Hata wajaribu vipi hawakuwezi Wala sisiti kusema ubaraka kwangu / Mvumilivu bila shaka hula bivu Chorus: Nakupenda wewe pekee sina hofu / Maisha yetu pamwe kweli si mabovu Pawe balaa, fununu, chuki na siasa / Tukiwa pamoja yote hayo sawa sawa Bahati nzuri tunalo pendo hili / Mwenyezi Mungu naye atubariki Tukae pamoja siku nenda siku rudi / Katika pendo hili mi na wewe mpenzi Chorus: