
873 views
Karibu ndani ya Kenya Leo ukiwa na Chris Kimuya na Suleiman Yeri. Leo tunaangazia mwaka mmoja tangu kifo cha Baba, Raila Odinga. Studioni tunao viongozi David Mwangi na Katerina Mutiso kwa mjadala wa kina kuhusu kumbukumbu na urithi wa Baba.