
8,015 views
Man Njoro feat Annette Kawira
24 Apr 2013
Man-njoro and singing sensation Kawira take it to the bundus with this bouncy number. Enjoy! lyrics: IRUGA BY MAN-NJORO FEAT KAWIRA PROD BY KEVIN PRO-VOKE (cameo appearance by nemesis....:) Verse 1 Unajua hii sijui kaa tutafanya mwomboko na muchungwa... Unajua ata si watu wa machinani tunajuaga kuparty, Huku hakukuangi tu na majembe na mashamba, Ata si tunajua kujii... twende, wacha niwaambie. Nasikia walisema kunaboo machinani hakunaga maparty ati huku ni mashambani, Na mi nashindwa walidanganywa na nani juu hapa ndio kunatoka jamaaa wa maplani, Haujuangi ukiumiwa kwa sahani, pili usila itaashwa namna gani Itabidi mani mani niwashoo vile si hutuma karamu bila karatasi, Tuko na cuzo ametoka karatina amebebana na mutungi kama mzima ya muratina, Tuko na shiku ametoka hapa thika na amekuja na mutura kama sita, Pia peter amekuja na gita, Tumekuja hapa tumetoa mugithi na kinanda na kama sasa haujajua utajipanga kwa sababu umejipata kwa party ya mashinani ya... (chorus by Kawira) Aandu othe me guku... Ni umonete? Athuri atumia... Ni umonite? Ona ciana umuthi... Ni umoniti? Iruga ini riiri ithui ni tuukite Verse 2 (nemesis) eeh man-njoro? Umecheki Mumbi? Maze sijui nimempoteza wapi kwa hii vumbi... (Man-njoro) wee kijana kaa umepoteza msichana yako uende forithi, Ujaze OB... uliniwachia nikuekee? (nemesis) Niaje mani mani unaniongelesha hivi yaani? (Man-njoro) waach nikuambie hii mambo ya kuniingililia verse tumekataa Ebu wacha niendelee hii story... tutigithie Na saa kwa hii dashi ukikutana na mrembo Na amekaa amepozi peke yake mseng'eng'o Kable utangaze lengo weka mafuta frenol, urudishe mbwa kenol, Usijidai changirai ukutane na tsetse seko Ujikute uko mengo na wale watakubadilisha meno na mapengo Ulienda kusaka raha ukapatana na kicheko kwa party ya machinani... (chorus) (verse3) Na saa kuna wale walipungukiwa na hali Walianza na makali saa baada ya gilasi tuu moja Wamezungukiwa kaa matatuu khoja Hawawezi kuponyoka wakipatana na masoja Lakini ni muchatha hiyo haikuwangi hoja Na Yule ni Kimani anatupa tupa thao? Na vile alidai amesotewa hana hata mbao, ah... Huu ni mjinga! Vinithendu alipatikana akitoka na mapupa Kuangaliwa kwa makoti anapatikana na machupa Lakini anajulikana, Ati ni wale watu wakaidi ata hawawezi achia mbwa mfupa Kiugu alijitupa, alikuja na wanjiru bila pesa ya machupa- Saa wanjiru maevuka amemruka, ako na bosco juu ni sonko Sasa utata ikmezuka ati... (chorus) (outro...) Guatia thufu... He! Guatia thufu... Weka chumvi alafu Guatia thufu! Juu! Guatia thufu Party ya mashinani, eh... na mko na mani mani (Man-njoro goes away talking to someone...)