
50,588 views
11 Jun 2016
Recorded and Mixed at Bwenieve Productions Video by Kibali Pictures How Great Thou art , How Great thou Art Bwana Mungu nashangaa kabisa, Nikifikiri jinsi ulivyo, Nyota, ngurumo, vitu vyote pia, Viumbavyo kwa uwezo wako. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu. Nikitembea pote duniani, Ndege huimba nawasikia, Milima hupendeza macho sana, Upepo nao nafurahia. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu. Yesu Mwokozi atakaporudi, Kunichukua kwenda mbinguni, Nitaimba sifa zako milele, Wote wajue jinsi ulivyo. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu.
Vicky Kitonga feat Sarah K, Dan Em, Rosemary Njage, Timothy Kitui, Fenny Kerubo, Lilian Rotich, Ruth Matete, Xin, Wang, Dorcas and Irene Kioko