
44,676 views
3 Feb 2017
PRINCESS FARIDA - M'BARIKIWA (Official Video) Audio - Johntez_Krucial Sounds Video - Gad Gado M'barikiwa means Blessed one To get the Skiza Tone on your phone- sms skiza 7198729 to 811 M'mbarikiwa lyrical video Ahhaaaaha×3 Lalala lalala lalala Chorus -Wengi wamekuita majina mabaya -Lakini Mungu akuita Mmbarikiwa -Wengi wamekuita majina mabaya oooo -Lakini Mungu akuita Mmbarikiwa Stanza Wakuita we ni bure Ati wewe huwezi make it Omba omba kila siku umekuwa hata hufai Mitego wakakutegea Uchawi wakakutupia Kila siku fitina kazini Nye nye nye nye nye nye Wewe nyamaza nyamaza kimya vita ni vyake Muumba Usilipize kisasi Mungu yu pamoja nawe Usilipize kisasi Mungu yu pamoja nawe Yesu ata kupigania kwasababu vita ni vyake Chorus -Wengi wamekuita majina mabaya -Lakini Mungu akuita Mmbarikiwa -Wengi wamekuita majina mabaya oooo -Lakini Mungu akuita Mmbarikiwa Stanza 2 Maneno neno yaweza umiza roho kweli Na hata fitina(kila mara kila mara) Yaweza vunja nyumba mama Jama jamani tuyaache, tupendane kama mandugu Tufuate neno lake Neno lake Muumba Yesu atakupigania sababu vita ni vyake Chorus -Wengi wamekuita majina mabaya -Lakini Mungu akuita Mmbarikiwa -Wengi wamekuita majina mabaya oooo -Lakini Mungu akuita Mmbarikiwa Bridge Abo abo twende, aah cheza mwenyewe kwa jina jipya ulopata Mwenyewe nafurahi kanipa jina jipya Mmbarikiwa aaha Mmbarikiwa Ona umesamehewa Kazi nzuri amekupa Sasa unaheshimika(sherekea jina jipya jamani) Afya nzuri amekupa Familia ameihifadhi Sasa unaheshimika( furahia jina lako jipya