
192,025 views
11 Feb 2017
Wale Wasee is a song of Victory and a song that inspires everyone to face life with an attitude of winning and not of loosing. Life can sometimes be challenging and full of unexpected situations that can crush us. However, there can always be victory if we believe in winning no matter what. ABOVE ALL, TRUSTING IN GOD IS THE KEY TO VICTORY! Join the movement of THE PEOPLE WHO WIN NO MATTER WHAT!! #SISINIWALEWASEE #MAKEITORMAKEIT LYRICS Ooooo Jimmy Gait again mamayoo Eh mamayoyo mamayoo CHORUS Sisi ni wale wasee hua tunashindangaa*2 Tunashindanga*3 Sisi ni walee wasee ah walee wasee VERSE 1 Imekua ni muda sana tumeona Mungu sana Amekua na sisi sana na tena sana Tumezunguruka zunguruka, tukimuonanga muonanga One akatupigania, two vita katushindia Amekua nasi He is so faithful Mungu yuko nasi, ametushika mkono hata kama hutambui ngoja sasa utaona Ayaaaaa oyooooo CHORUS Sisi ni wale wasee hua tunashindaga*2 Tunashindaga*3 Sisi ni walee wasee ah walee wasee VERSE 2 When God is by your side lazima ushinde*2 Kumbuka waisraeli wakipigana na waphilisti Walika wanashindwa, ooh wanashindwa, Kumbe Mungu alikua na Daudi akampa nguvu ili awashinde prrrrrraaa karusha jiwe goliathi kapatikana ooh boom kajipata chini Mungu akawapa ushindi, ooh Ushindi hivi leo mi najua Mungu ametupa ushindi ayayayya oyoyoyoyo CHORUS Sisi ni wale wasee hua tunashindaga*2 Tunashindaga*3 Sisi ni walee wasee ah walee wasee I am on the winning side, Mungu yuko nasi*3 Kushindwa ilikufanga tukazikanga tukazikanga Sasa tunashindanga tunashindanga Sisi ni walee wasee*3 BLESSINGS!!!