
2,711 views
Solomon Ndungu and Elizabeth Kamau
19 May 2017
Click on this link to buy this song: https://goo.gl/rAj4vL Contact Us: Solomon Ndung'u: +254773184005 Elizabeth Kamau on Facebook: @ElizabethKamauMusic Elizabeth Kamau on Twitter: @Elizabeth_Kamau Solomon Ndung'u on Facebook: @SolomonNdunguMusic SolomonNdungu on Twitter: @SolomonNdunguKE A gospel Swahili song performed by Solomon Ndungu and Elizabeth Kamau. Written by Solomon Ndungu. Programming done by Amos Karanja. Video directed by Richie G. Mikononi Mwako Lyrics: Nikitazama mbele nakuona, nyuma yangu waonekana Mwanzo na Mwisho wangu wewe wanitazama Waelekeza njia zangu, walainisha mapito yangu Usiye na mwisho waniongoza Kwa nini nimpende mwingine? Kwa ni' nimwabudu mwingine? ooh Nimo mikononi mwako oo oo ooh Wasiwasi sina tena, kwako oo furaha yangu yakaa Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, wanitazama Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, waniongoza Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, wanitazama Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, waniongoza Neno lako ni taa ya miguu yangu Na mwangaza wa njia zangu ooh Wewe ndiwe nanga ya maisha yangu Moyo wangu u salama Kwa nini nimpende mwingine? Kwa ni' nimwabudu mwingine? oo Nimo mikononi mwako oo oo oo ooh Wasiwasi sina tena, kwako furaha yangu yakaa Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, wanitazama Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, waniongoza Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, wanitazama Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako, waniongoza oo oo ooh yea yeah Ending: Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako Nimo Mikononi Mwako, Nimo Mikononi Mwako