
5,201 views
7 Jul 2017
Gods nature is 100% . He is Perfect in all His ways. His love is constant from yesterday, today and forever. Umekua 100% maishani mwangu Umekua 100% mimi nakusifu Umetembea nami baba eeh umenitendea Hakuna mwingine kama wewe Bwana mchungaji wangu, asubuhi na mchana na usiku Bila yeye sitafaa, ndani yake uzima, Yeye ni mwema Yeye ni Mungu Nikiwa na mastress, Yeye hunituliza Nikiwa Mgonjwa , Daktari Mkuu Pokea Sifa uhimidiwe, Wewe ni Mwema Wewe ni Mwema Umekua 100% maishani mwangu Umekua 100% mimi nakusifu Umetembea nami baba eeh umenitendea Hakuna mwingine kama wewe Kwa Wajane umekua Bwana Mwema, Mayatima wakuita Baba, Kwa Wanyonge wewe msaidizi wa Kweli 100@ wewe ni Mungu Dunia yote, inakutambua, Makuu yako yameonekana, Jina lako liko juu juu sana Wewe ni mwema, Wewe ni Mungu Umekua 100% maishani mwangu Umekua 100% mimi nakusifu Umetembea nami baba eeh umenitendea Hakuna mwingine kama wewe Asante Baba, Umekua 100% Yeiya eeeh Ngai ni Museo (Wow God is good) Mavinda oonthe ni Museo (All the time God is good) Umekua 100% maishani mwangu Umekua 100% mimi nakusifu Umetembea nami baba eeh umenitendea Hakuna mwingine kama wewe
Vicky Kitonga feat Sarah K, Dan Em, Rosemary Njage, Timothy Kitui, Fenny Kerubo, Lilian Rotich, Ruth Matete, Xin, Wang, Dorcas and Irene Kioko