
92 views
Edwin Sifuna: Sisi, kama Linda Mwananchi, hatutamika kusplit kura ya upinzani. Hata tukienda peke yetu tutashinda, lakini tutashinda saa nane. Wakenya wanasema wanataka mchezo huu uishe saa kumi na mbili asubuhi. Ndiyo maana tutatoa kikosi kimoja pamoja na United Opposition.