30 views
Milele Midmorning on Milele FM
Aired 8 Apr 2026
1:11
President Ruto: Niliwaambia nitapanga mambo ya kilimo, leo hii ile fertilizer yenye ilikuwa elfu saba, saa hii ni elfu mbili na mia tano. Wale wakora wote wa kahawa niliwafukuza, kweli si kweli. #milele100percentkenyan