
100 views
Bila shaka tunapenda kushiriki nawe chochote kile tulicho nacho. Wakati huu wa sherehe za krismasi na Mwaka Mpya, tunashirikiana na Sunrice ili kukupa fursa ya kifurahia mlo na kuangazia hatua tulizopiga mwaka huu. Ufahamu changamoto zetu kwako na kufurahia pamoja tukisemezana. #ShareTheTable #SunriceKenya