311 views
Milele Midmorning on Milele FM
Aired 3 Aug 2022
3:35
Confession time: "Nimekuwa kwenye ndoa miaka 10 na niko na mtoto nje ya ndoa ambaye yuko kidato cha nne sasa. Mke wangu hajui na sasa imekuwa mzigo kubwa sana kwangu." #KaziMpango