722 views
Milele Midmorning on Milele FM
Aired 14 Jul 2022
3:54
"Nimekuwa katika ndoa mara saba, nimepata watoto wanne na mume nilie naye wangu saa hivi hajui kwamba nimekuwa kwenye ndoa na niko na watoto wakubwa. Mara yangu ya kwanza kuolewa nilikuwa 14 years."