228 views
Milele Asubuhi on Milele FM
Aired 17 Nov 2020
2:22
#KaziMpango Pasua Mbarika - Madaktari wanatishia kugoma iwapo serikali haitashugulikia malalamishi yao ya kutokuwa na vifaa hitajika vya kuwakinga kuambukizwa na COVID-19. Haya yanajiri baada ya madaktari wanne kuaga dunia wiki iliyopita.