1,713 views
Milele Afternoon on Milele FM
Aired 3 Feb 2020
4:08
#MileleDrive Kadhi Mkuu Sheikh Ahmed Mohdhar anataka lile swali ambalo mwanamke huulizwa kama yeye ni bikra wakati ya ndoa ya Kiislamu litolewe kwenye cheti cha ndoa Wewe unamuunga mkono eti hili swali halina umuhimu wowote?