
639 views
Tuzungumuze: Je, serikali yafaa kubadilisha sherehe za Mashujaa kutoka Mombasa na kuzisherehekea katika mji mwingine? Hii ni kwa sababu ya matokeo ambayo yamekumba mji wa Mombasa kama ajali ya Likoni ferry na maandamano ya madereva wa trela. #KaziMpango