
79,996 views
23 Jan 2014
Music video by Kelele Takatifu performing Didimia.Produced by Teddy B,Video by J Blessing. Lyrics to the song:Didimia Verse 1 Corruption zii,sitaki cheti bandia,nadidimia ni kama napisha jeshi kwa njia,didi miye,Yesu ndiye ninadandia mimi chini Yeye juu ka nundu ya ngamia,mambo ya Nguvu nimwachie Alfa Omega,na mimi niwe chini ya maji kama omena,kuishi na kifua kujifanya mi najua uwongo mingi nawachia soap opera,nakubali tu makosa nina kimbelembele,niache moto nianze tu kupiga kelele takatifu,maringo naionea mbele,nianze nyuma,Yesu anipeleke mbele,unajua mi na Yesu tuna cooperation,ubondia itanipeleka operation,ugomvi ninaona ni kama ntatupa mbali na nimpe saluti ka mkubwa wa serikali....... Verse 2 wacha nisijifanye mjanja,mjanja. Ni Jesus,mi nikona tricks Ye miujiza,maswali kibao ni Ye mi huuliza,bila Ye hunioni kama makaa kwa giza,place amenitoa nikianza story,ka nimekosea tafadhali sorry,kuweza bila Yeye manze ngori,ni Yake yote nini?glory,so nadidimia kama bei ya mandazi sifiki mia,nisijichoche na tupesa hizi mia,ndo nifike binguni nikizimia,sitabuy pumpers,na sina mtoto,sitapika ugali na kaunga kadogo,Mungu awe Mungu,nibaki mdogo,hii life sio yangu,ni kama mkopo.... Verse 3 so namfuata,ka mtu na yake pet,Yeye anipange ka soda kwa crate,ka soldier kwa gate,hakuna siasa hatudebate,,,,itabidi ubehave ni easy kuplant life ama kudig grave,ka radar ka doctor kwa theatre,act like you know ni ka uko theatre!!!!! Kelele takatifu - Didimia Kelele takatifu - Didimia Kelele takatifu - Didimia Kelele takatifu - Didimia Kelele takatifu - Didimia