
1,106 views
GUMZO: Serikali iko na mpango wa kuwapa wanafunzi wa sekondari na vyuo CONDOMS kati ya miaka 15-24. Unaizungumziaje Njia hii..je itamaliza maakumbukizi ya HIV na magonjwa ya zinaa. Sema nasi Kaka Zema - Mtoto wa Mjomba DEE 001Presenter ndani ya Milele FM #KaziMpango