
134,277 views
19 Oct 2013
Executive Producer - Muthoni Music Entertainment Director - Tedd Josiah Production House - Sand Stone Studios Produced & Arranged by GR! and Hook Track - Nai Ni Ya Who Length - 3m 49s Written By - Muthoni The Drummer Queen Follow us: IG https://www.instagram.com/muthonidrum... Facebook https://www.facebook.com/muthonidrumm... Website https://www.mdqmusic.com/ Spotify-https://open.spotify.com/artist/2FzYw9fn2ZtQ7sZma5BxuB?si=Z6BED33-RsmJ2fGbr7P6ZQ Apple music - https://itunes.apple.com/ca/artist/muthoni-drummer-queen/340156899 Deezer - http://www.deezer.com/artist/12291590 Boomplay Playlist - https://www.boomplaymusic.com/share/playlist/8287402?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID LYRICS Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? who? Nai ni ya who? wale wana do? Nai ni ya wale wana milli ,thao,blue. Ata ka ashu,eka roho juu Angalau unaweza lipa kutumia loo. Nai ni ku think, for example una sink Na maji na blow dry, kichanuo ya pink, Na mafuta ya valon,hio sio salon? Tebu hora bisha eyo kama camera ya cannon. Nai ya wasee wanakuanga wamesoma, Lakini bila street cred wanajipata kwenye noma Nai ni ku struggle, nai ni ku hustle Kila kitu ina bei, nai jenga muscle Chorus Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? who? Nai ina maajabu, zingine very spectacular Imagine kubuy porno na imefanywa in vernacular Utashtuka buda, kumbe sex ni lugha Mpaka ma chali wa campo wana push na ma cougar. Nai wasee humeet wapi? Hapo nje ya Bata Hilton. Na wale wa uptown huzunguka ile side ingine ya lintons Ju imenext na Dormans, ma coffee date and romance Please kumbuka Nai , mkwanja ndio performance. Nai ni ya FOMO ,ndio tumejaa kwa facebook Wasee ku brag na picha na ma captions kama storybook. Ati vile wana chill na ma celeb huko blankets But in reality, maisha yao different planets Chorus Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? who? Verse 3 Weh umewahi shikwa tao na makarao wa kanjo Ju ya kutema mate hapo globe kwa uwanjo Kutupwa kwenye cell underground huko citi hall Ndio utajua nai nani mwenyewe boss overall! Na makaro wa Nai,mtaani huitwa ma beast. Usiwahi shikwa Friday aki ya mungu wata ku feast. Hio me ata sikujua, nilicheki Nairobi half life Daily kupray nisiwahi kupatwa na hio situation live live. Nai ina wenyeji ,but pia ina wenyewe So weh unaweza decide kama wewe nu kuku au mwewe Weh decide ka una rada au unawaste time As for me,nai ni ya ,nai ni ya mine Nai ina maajabu! Usiku saa tisa, Msee anatoka “misa” holy communion na working class pale basilica, I ain’t mad at you bro, me sina noma Chorus Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? Nai ni ya nani? ni ya nani nai, Nai ni ya nani? ni ya who? who? Hii ngoma ni ya wasee wote wa Nai, wale wanaishi nai wale wana dream about nai wale wanataka kuingia nai manze uskize hii wimbo vile nimekuambia Huyu ni Muthoni the Drummer Queen Me nakauanga in the winning team