8-4-4 wamlenga mwalimu pekee; CBC waleta ushiriki wa mwanafunzi katika masomo -Salim, Mwalimu

  • | TV 47
    2 views

    "Mtaala wa 8-4-4 tunaofundisha sasa ni mtaala unaomtegemea mwalimu pekee; ni mwalimu ndiye husema mbele, nyuma, kushoto na kulia, huku mwanafunzi akiwa hana mchango wowote. Ndiyo maana mtaala mpya wa CBC unalenga kumhusisha mwanafunzi kikamilifu katika masomo." -Salim Suleiman, Mwalimu, Kaharo Girls

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __