
2,292 views
3 Feb 2015
Finally! VKP's new video for the song METAMETA is here. Audio Produced by Vicky Pondis, Video by Cream Vision. Get the audio here Mdundo: http://mdundo.com/song/18817 Metameta Lyrics by VKP HAHA Walisema jogoo wa shamba hawiki mjini, lakini cheki venye Mungu amekutoa chini Verse 1 Maternity na mortuary ni entry na exit, uhai ama death god anaexuist Ni wengi walifinywa na budget, currently wanatravel by jet Naona beyond food kwa plate, nataka jina yangu kwa number plate Wengine shule walishindwa na grammar, lakini saa hii huwashindi kwa glamour Chorus Umetoka mbali- mbali unaenda mbali Umetoka mbali,- mbali shukuru mungu kwa yote Umetoka mbali- mbali unaenda mbali Umetoka mbali,- mbali shukuru mungu kwa yote Unametameta, Unametameta Unametameta shukuru mungu kwa yote Unametameta, Unametameta Unametameta shukuru mungu kwa yote Verse 2 Jana ulikuwa mkata miwa , leo unaitwa mheshimiwa Jana ulikuwa mhasiriwa, leo unaitwa mbarikiwa Jana ulikuwa unawasha jiko, leo mi naona umepata jiko Jana jana jana jana-aaaah Chorus Umetoka mbali- mbali unaenda mbali Umetoka mbali,- mbali shukuru mungu kwa yote Umetoka mbali- mbali unaenda mbali Umetoka mbali,- mbali shukuru mungu kwa yote Unametameta, Unametameta Unametameta shukuru mungu kwa yote Unametameta, Unametameta Unametameta shukuru mungu kwa yote Interlude Umetoka mbali Umetoka mbali Umetoka mbali Umetoka mbali Unaenda mbali Chorus Umetoka mbali- mbali unaenda mbali Umetoka mbali,- mbali shukuru mungu kwa yote Umetoka mbali- mbali unaenda mbali Umetoka mbali,- mbali shukuru mungu kwa yote Unametameta, Unametameta Unametameta shukuru mungu kwa yote Unametameta, Unametameta Unametameta shukuru mungu kwa yote Well again this is the V.K.P from Africa, Ah ah