
122,264 views
17 Apr 2026
Shrap OG @JovieJovv drops new stunning visuals for "Trap Harakati", off his upcoming album STREET MATHEMATICS. Stay Connected with Jovie Jovv IG https://www.instagram.com/joviejovv TikTok https://www.tiktok.com/@joviejovv CHORUS Daily niko Trap harakati na saka io ganji Vile napenda io ganji ni ka nadai kuimarry Nilianzanga na pati pati sai nang'ara ma nike Drip ni classy mi ni chopi darasani Jovie nacheza kighost hizi mtaa sionekani VERSE Jovie nacheza kighost hizi mtaa sionekani Ata wakini saka hawa mafeds hawaniwai Vile trap inajump utdhani megeuka maasai Aki walai Jovie usinitry Niko high on sensi Bazeng na medi Uzzi amemix na mafegi Ushai tulia na peddy Nasaka madoo sisleki Mpoa anajiona slay queen Jovie kwa game forsaken heaven sakes mi ni mse mistaken Bro niko njaa ya kuget hii mula vile ii beat naikula Bro alikula ndula vile alinikunjia sura Enzi za kudunga supra topper na kaptura Mbona umefura Jovie sijawai pura CHORUS Daily niko Trap harakati na saka io ganji Vile napenda io ganji ni ka nadai kuimarry Nilianzanga na pati pati sai nang'ara ma nike Drip ni classy mi ni chopi darasani Jovie nacheza kighost hizi mtaa sionekani Rap nmekufia vile nadai kuimarry Marapper kucheza na mimi mtafakari rap nimeikufia vile nadai kuimarry VERSE Ntaanzia wapi Daily manze na trap Nakusanya mastacks Naomba niget ii guap Dem alinikalia lap Ii kitu nadai kuitap Lakini najua it's a trap So nilirelax Daily nahepa matax Wasee wanadedi na heart attacks Ata wacheki mastats Wanarap ka Jovie lakini ni whack Keep track keep track Jovie nawadropia back to back Chenye na roga ni facts Jovie nanukia marash ya cash CHORUS Daily niko Trap harakati na saka io ganji Vile napenda io ganji ni ka nadai kuimarry Nilianzanga na pati pati sai nang'ara ma nike Drip ni classy mi ni chopi darasani Jovie nacheza kighost hizi mtaa sionekani Rap nmekufia vile nadai kuimarry Marapper kucheza na mimi mtafakari rap nimeikufia vile nadai kuimarry