8C45D90F 8939 433D B14D 4B8F7D169D1B PROGRESSIVE H264 3

  • | BBC Swahili
    366 views
    Haya ndio mapigano ya kinyesi cha ng'ombe huko India ambapo hufanyika kusherehekea sikukuu ya Gorehabba kama ishara ya kumuenzi mungu wa kihindi katika Kijiji cha Gummatapura. "Mungu wa kijiji chetu Beereshwara Swamy, tuna imani kubwa ya kwamba alizaliwa kwenye kinyesi cha ng'ombe," alisema Chetan Kumar alisema mkazi wa Gummatapura. Katika Uhindu, ng'ombe huchukuliwa kama mtakatifu #bbcswahili #india #imani