
1,423 views
Katika mahojiano ya Maisha Asubuhi, Omondi K’Oyoo, SG wa NLP, anazungumzia hali ya taifa, mwelekeo wa siasa za Kenya, nafasi ya Kalonzo Musyoka ndani ya Azimio la Umoja na kauli kuhusu Edwin Sifuna na Rais William Ruto. Tazama mahojiano haya kusikia msimamo wake kuhusu siasa na mustakabali wa nchi.