612 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Oct 2026
10:43
Omondi K’Oyoo wa NLP, akieleza kuwa wako ndani ya Azimio la Umoja, amesema iwapo Kalonzo Musyoka hatapewa tikiti ya urais, kila mmoja atalazimika kuamua hatua yake inayofuata.