344 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Oct 2026
16:18
Malumbano na majibizano ya kisiasa, kupitia maneno makali kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta, yanaibua maswali kuhusu mustakabali wa siasa za Kenya. Je, malumbano haya yana manufaa gani kwa Wakenya?