
71 views
Shiriki nasi mstari wa Biblia unaokutia moyo, kukuimarisha katika imani na kukupa nguvu unapopitia changamoto za maisha. Neno unaloshiriki linaweza kuwa mwanga na faraja kwa mtu mwingine anayehitaji kutiwa moyo Tuinuane katika imani kwa kulishirikiana Neno la Mungu, maana kile kinachokupa nguvu leo kinaweza kuwa tumaini la mtu mwingine kesho