
62 views
Victor Bwire, Director wa Media Training and Development katika MCK: Uandishi wa habari katika enzi ya mabadiliko. Kutoka kwa shinikizo la kisiasa na uhuru wa wanahabari hadi nafasi ya AI katika tasnia ya habari, tunajadili changamoto na mambo muhimu ambayo wanahabari wanapaswa kuzingatia.