
38 views
Je, unamwamini kiasi gani mtu anayekusaidia kulea watoto wako? Unaweza kuondoka nyumbani ukiwa na amani ya moyo ukijua watoto wako wako salama, au kuna mambo ambayo hukufanya uwe na wasiwasi? Ni muhimu kwa wazazi kuwa makini na kuhakikisha watoto wanapata uangalizi na ulinzi wanaohitaji.