38 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 13 Oct 2026
4:14
Maafisa hao wanakabiliwa na tuhuma za kumdhalilisha kingono mtoto wa miaka mitatu katika Kaunti ya Meru. Uchunguzi unaendelea huku washukiwa wakizuiliwa kusubiri hatua zaidi za kisheria.