
239 views
Catherine Omanyo, Katibu Mkuu wa ODM, azungumzia hali ya chama hicho mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, akigusia uongozi wa chama, mwelekeo wake wa kisiasa, uhusiano na Rais William Ruto pamoja na nafasi ya ODM katika siasa za Kenya.