63 views
Tuvibe on Radio Maisha
Aired 12 Oct 2026
12:27
muhubiri mmoja anapendekeza vipimo vya DNA visitishwe au visiruhusiwe kisheria. Vipimo vya DNA hutumika, miongoni mwa mambo mengine, kuthibitisha kama mwanaume ndiye baba wa mtoto kibayolojia.