
63 views
Beatrice Mwangi, CEO na mwanzilishi mwenza wa Digital Mom Bureau, anajadili na Jitabi Suleiman kwenye Staarabika changamoto za ajira nchini Kenya, nafasi ya serikali katika kuwezesha Wakenya kupata kazi na umuhimu wa kujituma katika kutafuta fursa. Pia anatoa ushauri kwa wanaotaka kuanzisha biashara, akiwahimiza kuanza na mtaji walionao badala ya kukimbilia mikopo.