61 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 12 Oct 2026
12:09
Beatrice Mwangi anawashauri wanaotaka kuanzisha biashara kuanza na mtaji walionao badala ya kukimbilia mikopo. Anasisitiza umuhimu wa kutumia rasilimali zilizopo na kukuza biashara hatua kwa hatua.