
28 views
Beatrice Mwangi anasema kuwa mtazamo kwamba kupata kazi kunategemea connections unaweza kuathiri jinsi watu wanavyotafuta ajira. Anawahimiza wanaotafuta kazi kubadili mtazamo huo na kuangalia fursa mbalimbali zinazoweza kuwasaidia kufikia malengo yao ya kikazi.