
101 views
Mtoto akiadhibiwa shuleni, adhabu haipaswi kuharibu maisha yake. Kisa cha mtoto aliyedaiwa kupigwa na mwalimu hadi kupoteza mguu kinaibua maswali kuhusu usalama wa watoto shuleni. Je, unawaamini walimu wa mtoto wako kumwadhibu kwa njia inayofaa?