80 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 12 Oct 2026
3:09
Geoffrey Mosiria ametangaza azma yake ya kuwania kiti cha ugavana Nairobi katika uchaguzi wa 2027, akiahidi kuibadilisha kaunti hiyo. Je, unadhani Mosiria ana nafasi ya kuongoza Nairobi?