77 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 12 Oct 2026
2:27
Bishop Margaret Wanjiru alimwombea na kumtia mafuta ya upako Fred Matiang’i wakati wa ibada katika kanisa moja jijini Nairobi. Tukio hilo limezua mazungumzo kuhusu azma ya Matiang’i kuwania urais katika uchaguzi wa 2027.