23 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 12 Oct 2026
14:05
Macharia Njeru amekosoa Hustler Fund na Uwezo Fund, akizitaja kuwa ni upuzi na mbinu za kisiasa. Anazungumzia hali ya taifa na changamoto zinazokabili Wakenya.