35 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 12 Oct 2026
2:45
Licha ya vurugu zilizoshuhudiwa, mechi kadhaa za ufunguzi zimeisha kwa sare huku Tusker FC ikiibuka na ushindi dhidi ya Ulinzi Stars. Na fans wa Manchester United walikuwa wameanza kunenepa, then boom, Tottenham wakaingia kuwakatia furaha!