213 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 10 Oct 2026
9:09
Wahubiri wanapaswa kuelewa kuwa waumini wanapitia changamoto za maisha, hasa kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. Kwa hivyo, wanapaswa kuwahurumia, kuwaelewa na kuwapa mafundisho na ushauri unaozingatia hali halisi ya maisha yao.