
120 views
Rais Ruto asema serikali inatafakari kuanzisha ufugaji wa nyati wa kukamuliwa ili kukabiliana na upungufu wa maziwa nchini, akitolea mfano wa India ambako nyati hutumika kuzalisha maziwa. Host: Nzula Makosi & Hassan Umar Producer: Presenter DK KE #MaishaShereheFriday