
51 views
Dkt. Kahura Mundia anaangazia tishio la Ebola nchini Kenya, akieleza jinsi virusi hivyo vinavyoenea na hatua za kuchukua ili kujikinga. Anasisitiza umuhimu wa kuepuka kugusana moja kwa moja na watu walioambukizwa na kuzingatia tahadhari za kiafya. Je, Wakenya wako tayari kukabiliana na tishio hili?