24 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 9 Oct 2026
7:41
Dkt. Kahura Mundia aonya kuhusu Ebola, akieleza kuwa virusi hivyo vinaweza kuenea kupitia kugusana moja kwa moja na mtu aliyeambukizwa au majimaji yake ya mwili. Anasisitiza umuhimu wa kuchukua tahadhari ili kuzuia maambukizi.