
1,904 views
Ciggie Johnson, maarufu kama Mr. Punchline, amefunguka kuhusu umaarufu wake kwenye vilabu, akisema kuwa wengi wanaokuja kumuona ni wanaume, huku wengine wakimkumbatia. Anasema hali hiyo haionekani sana kwa sababu huwa haposti kila kitu kinachotokea anapokuwa nje. Katika mahojiano haya, Ciggie anazungumzia pia maisha yake binafsi, suala la DNA ya mtoto wake na mtazamo wake kuhusu kutafuta umaarufu kupitia watu wengine.