95 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 9 Oct 2026
4:40
Kocha wa Harambee Stars, Benni McCarthy, asema hata akipewa mamilioni, Kenya bado haina kikosi na rasilimali za kutosha kushinda AFCON 2027. Je, unakubaliana naye au anaikatia timu tamaa?