12 views
Radio Maisha Safari on Radio Maisha
Aired 9 Oct 2026
2:05
Katika maisha yetu ya kila siku, tumwombe Mwenyezi Mungu atupe hekima ya kutambua yaliyo mema na nguvu ya kusimama katika njia zake. Tusiache ushawishi wa dunia ututenganishe na mapenzi yake.