4,027 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Oct 2026
36:47
Katika mahojiano haya, wananchi wa Joska wanatoa maoni yao kuhusu siasa za nchini, uongozi na viongozi wanaowaona wanafaa kupewa nafasi, huku wakieleza mitazamo yao kuhusu Sifuna, Kalonzo na viongozi wengine wa kisiasa.