45 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Oct 2026
7:26
Wananchi wanamkosoa Gavana Wavinya Ndeti, wakisema hawaridhishwi na utendaji wake na wanaona hafanyi vya kutosha katika kuwatumikia wakazi wa Machakos.