14 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Oct 2026
8:33
Dr. Paul anaeleza kuwa Ebola inaweza kuanza kwa dalili zinazofanana na magonjwa mengine, lakini hali ya mgonjwa inaweza kubadilika kwa kasi, hivyo tahadhari na matibabu ya mapema ni muhimu.